carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]ukaribie tuNingekuwa karibu aisee ningekuja...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ukaribie tuNingekuwa karibu aisee ningekuja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Amin uwe na siku njema piaHebu kila mmoja wetu na akawe na siku njema. Tutakutana baadaye muumba wetu Akipenda !!!![]()
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu akupe hitaji la moyo wako swtdarling[emoji173][emoji173][emoji173]Nasikia unamuomba Mungu apate kukujalia, kutimia kwa ndoto zako na kusaminiwa kwa zako hisia.
Nami namuomba Mungu anifanye kama unavyonifikiria mengi mazuri niyawezayo nitakufanyia yaliyo juu ya uwezo wangu nitamwachia bwana Mungu
Good morning Bob12Good morning
AminHebu kila mmoja wetu na akawe na siku njema. Tutakutana baadaye muumba wetu Akipenda !!!![]()
Jirani, shemeji, rafiki, dada habari yakoAmin uwe na siku njema pia
Salama kabisa jirani,shemeji,rafiki,kaka...
Kumekucha?Good morning Bob12
You Deserve the BestAmin[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu akupe hitaji la moyo wako swtdarling[emoji173][emoji173][emoji173]
Big dealNawaalika kuja kunywa chai wote nyumbani kwangu asubuhi ya leo
Tunashukuru Mungu kumekucha...habari ya pande hiyoKumekucha?
[emoji4][emoji4]unafanya asubuhi yangu iwe njema kabisa ubarikiwe sana babes mana si kwa misifa hii[emoji9][emoji9][emoji9]You Deserve the Best
Because you are the Best
Kwangu ni kwema aiseeTunashukuru Mungu kumekucha...habari ya pande hiyo
HahahahaSasa wale mtakao kuja kunywa chai kwangu,mje na vitafunwa,chai ama kahawa au juice kwa wale msiotumia chai ama kahawa...kwangu mtapata mkeka na maji ya kunawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]