Tumuombee ili mkono wa Mungu ukamguse. Binadamu siye !!!Asante sana sema haja rip ila yuko in critical condition...Mungu amsaidie...mimi i will be ok...
AminTumuombee ili mkono wa Mungu ukamguse. Binadamu siye !!!
After 1.5 months compared to their 1.5 years. Uzi huu ni shidaaa !!!287 pages to catch up with Makapuku
Huu uzi niwakulevya...After 1.5 months compared to their 1.5 years. Uzi huu ni shidaaa !!!
Numbisa. Hii list yako ni current au ya zamani kidogo? I am just curious...6. MIKE TYSON-Bondia wa zamani wa uzito wa juu duniani
+ Mohammed AliWaliokufa
1.MICHAEL JACKSON
2. ISAAC NEWTON
3.OSAMA BIN LADEN
4.ADOLF HITLER
5.MARTIN LUTHER KING
6.JOHN F KENNEDY
7.SADAM HUSSEIN
8. ALBERT EINSTEIN
9. ABRAHAM LINCOLN
10. NELSON MANDELA
You are StrongAsante sana sema haja rip ila yuko in critical condition...Mungu amsaidie...mimi i will be ok...
[emoji123][emoji123][emoji123]thankx babeYou are Strong
Everyday.
Usikamie usingizi shemeji. Tena nakuomba kabla hujalala msalie mgonjwa na wewe ujisalie huku ukikemea yote yaliyo mabaya na kuikabidhi nyumba hiyo katika ulinzi wa Mungu. Hapo sasa chochea feni/AC yako uucharaze usingizi mtamu usio na mang'amung'amu wala ndoto-msukule.Usingizi nitakao lala leo daah[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Ningekuwa karibu aisee ningekuja...[emoji23][emoji23][emoji23]Nawaalika kuja kunywa chai wote nyumbani kwangu asubuhi ya leo
Nitamuombea shemeji,asante sanaUsikamie usingizi shemeji. Tena nakuomba kabla hujalala msalie mgonjwa na wewe ujisalie huku ukikemea yote yaliyo mabaya na kuikabidhi nyumba hiyo katika ulinzi wa Mungu. Hapo sasa chochea feni/AC yako uucharaze usingizi mtamu usio na mang'amung'amu wala ndoto-msukule.