Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia unamuomba Mungu apate kukujalia, kutimia kwa ndoto zako na kusaminiwa kwa zako hisia.
Nami namuomba Mungu anifanye kama unavyonifikiria mengi mazuri niyawezayo nitakufanyia yaliyo juu ya uwezo wangu nitamwachia bwana Mungu
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu akupe hitaji la moyo wako swtdarling[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…