Mkuu ukiwa hapa hata 19 kitakacho kutokea lazima urudi tena.Sikuwahi kuona hii thread; nimecheka hadi sina hamu. Yaani, ni kama watu kwenda kanisani na mchungaji akaahidi utabarikiwa tu. Haijalishi umetoka kufanya nini, na nani.. unaamini utabarikiwa tu. Haya nibarikini na mimi nanyi mtabarikiwa!
Truth Must be Told[emoji4][emoji4]unafanya asubuhi yangu iwe njema kabisa ubarikiwe sana babes mana si kwa misifa hii[emoji9][emoji9][emoji9]