ulikuwa unazungumzia nini mkuu? jamaa ni snicha....Hatimae mods wameunganisa uzi wa Traveller X aliyekuwa anautolea povu uzi wetu pendwa.
Sasa uzi wetu unabaraka zote kutoka kwa mods.
Like ulikiweeeee.
Jaza ujazweee.
Gonga ugongweeee.
...................
ulikuwa unazungumzia nini mkuu? jamaa ni snicha....Hatimae mods wameunganisa uzi wa Traveller X aliyekuwa anautolea povu uzi wetu pendwa.
Sasa uzi wetu unabaraka zote kutoka kwa mods.
Like ulikiweeeee.
Jaza ujazweee.
Gonga ugongweeee.
...................
Powwa....same to you Madame...usisahau kurudi kwenye uwanja tulivuNitarudi kuja kuwawekea likes from the Stars above and back! HAVE A BLESSED AND WONDERFUL DAY!
Nagonga like ila sijui kama no kweli"Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe."
Gonga like kama ni kweli.
Waiting for 30k
Confirmed....that's the truth"Riziki, mwanzo wa chuki."
Gonga like kama ni kweli.
Ahahahaha mkuu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Hapo sasa ni wewe mwenyewe...tumia ujanja wa bashite
Ngoja nicheke kwa herufi kubwa kabisa.UNAMPA LIKES NGAPI HUYU DADA
Mume: Hallo my queen...
Mke: Nambie my darling...
Mume:: Nimekumiss honey...
Mke:: Hatamimi nimekumiss ile mbayaaa..
Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..
Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..
Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......
Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....
Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....
Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...
Mke:: Na wakutoe yote....bora ufe tu....hunafaida yoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!!
wanawake mungu anawaona
Dooooh[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]"Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe."
Gonga like kama ni kweli.