manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Nawe pia
[emoji23][emoji23][emoji23]mngekoma kuringaPapa anauwezo wa kujipa mimba mwenyewe,aisee wanadamu wangeweza wanaume tungekoma walahi
Tatizo kashachelewa maana mods wabaya sanaItabidi azipokee jinsi zilivyo
Hahahahaha mkuu karibu sana kwenye familia ya likesSikuwahi kuona hii thread; nimecheka hadi sina hamu. Yaani, ni kama watu kwenda kanisani na mchungaji akaahidi utabarikiwa tu. Haijalishi umetoka kufanya nini, na nani.. unaamini utabarikiwa tu. Haya nibarikini na mimi nanyi mtabarikiwa!
Kama huna hela na watoto waliopo kajipa mimba mwenyewe sijui ingekuaje,lakini MUNGU kaamua ku balance mambo ili tuheshimiane hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]mngekoma kuringa
Male sex Mara nyingi Ni wachache kwahiyo hiyo Ni coping mechanism yao in case wanaume hawapo.Yani hadi papa ni single moms,nouuuuma