WatajijuKuna jamaa anauchukia kweli huu Uzi
Hahaha kuna watu na viatu
Hata sisi hatukutarajia ujio wako hapa, utapata likes za kishindo kwa wingi post zako, pia ukiwadondoshea likes waungwana wengine hapaSikuwahi kuona hii thread; nimecheka hadi sina hamu. Yaani, ni kama watu kwenda kanisani na mchungaji akaahidi utabarikiwa tu. Haijalishi umetoka kufanya nini, na nani.. unaamini utabarikiwa tu. Haya nibarikini na mimi nanyi mtabarikiwa!
Kuna jamaa anauchukia kweli huu Uzi
Hahaha kuna watu na viatu
Mungu aisee acha aitwe MunguMale sex Mara nyingi Ni wachache kwahiyo hiyo Ni coping mechanism yao in case wanaume hawapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu ukiwa hapa hata 19 kitakacho kutokea lazima urudi tena.
Morning
Kumekucha
Morning my babesMorning
Haya masikio angepewa kichafu kichwa ingekuwa mtafutano ubuyu wa majumba yote hadharaniYou can’t see a shark’s ears, but that doesn’t stop it from being able to hear you from more than two football fields away. That’s because sharks only have inner ears, which they use to track the sound of their prey from lengths of more than 800 feet (244 meters)