Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sikuwahi kuona hii thread; nimecheka hadi sina hamu. Yaani, ni kama watu kwenda kanisani na mchungaji akaahidi utabarikiwa tu. Haijalishi umetoka kufanya nini, na nani.. unaamini utabarikiwa tu. Haya nibarikini na mimi nanyi mtabarikiwa!
Hahahahaha mkuu karibu sana kwenye familia ya likes
Tunajua nyie ni watu muhimu sana JF
Post chochote upatel likes
Nawe likes post za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…