Hahahahaha
LoveSweet
Mkuu baridi la Arusha vipiMzee wa liver umeona [emoji116] chombo chenye id mpya? Baby Doll
Mkuu ungepitia na website yao huwa kuna updates zaidi.Mmmh Mwenye ripoti jaman kuhusu kujianga na jkt mwaka huu tafafhari naomba tujuzane ili nijiandae
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mzee wa liver.Hatari
Mambo mummy.
Nakwendaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwendaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi hata kutafuta tusingetafuta.Njaa ndio inatufanya tutafuteTungekua tunakula pale tunapopata chakula tu,aisee watu tusingeteseka namna hii
10:2710:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Aisee usiamke mpka umalize seriesLeo siamki nao kuna series ya ndoto hapa na ww upo
Mbona leo kama upo desperate sana bibie!Muwe na siku njema
Leo hauko sawa pole kwa yaliyokusibu hukoTutaonana baadae acha niende break kwanza
Uvivu makini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale tunaoanza weekend asubuh hii tuwe na weekend njema
[emoji120]Wale tunaoenda ibadani leo tusisahau kuwaombea wagonjwa na wenye shida Mungu apate kuwafanyia wepesi