Nipo njiani kuelekea huko.Najua hiyo chai ina mibapa ya kutosha[emoji120] [emoji120] [emoji120] Mungu akupe nini hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningekuwa karibu aisee ningekuja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajifanya kasahau.Hahahahaha
Atakuja tu si unajua mambo ya kibiti
Nothing is impossible under the sunSikuwahi amini kama kuna uzi utakuja kuuletea ushindani makapuku
HahahhaaHhahahaahaa
Exactly
Nzuri kwa kweliHabari zenu wapendwa
mzee wa liver umelala humu nini?Hahahhaa
Morning mkuu