Fataki za like zinaanzaWengine kimyaaa...jembekilo,kichwa kichafu,Ukhuty na Rosweeter
Miaka hii umasikini shida na hata utajiri pia ni janga.Hapa ndio utakapojua kuna watu na viatu
Teh teh tehWamelala
HumchomaMdharau mwiba.....
SafiMmeamkaje hapa
Worry out!Toa like tuliku miss jana! Naingia meeting! Catch you later!
Ukiwa mchoyo wa mengine hata kwenye like utapitiliza ukitafuta tuUchoyo ufanyie kwenye mambo mengine ila sio kwenye likes
unauliza virungu kituoni!Sijui na leo ntapata likes [emoji23] [emoji23]
What's up!!!!Aleyn, mambo, ISIS, Hance mtanashati,Kichwa Kichafu, sweetlee,24hrs,upepo wa pesa, Usa-river,vampire_hunter007,joseverest,mark msue,jakitoo, halloperidon,MBIIRWA,Jembekillo,... Wapi mmejificha? Mtakuwa mmeenda Zanzibar kusubiria Noah za Makinikia?
dah! kweli na wiki hizi za makenikia,,,Sikio halilali na njaa.
kwann cole williamsNimeshtuka