moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AminWale wenye matatizo mungu awafanyie wepesi
AminWale wenye matatizo mungu awafanyie wepesi
Sikio la kufaa..Sikio halilali na njaa.
'Mcheza hawi kiwete, ngoma yataka matao. 'BAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Your like[emoji604]
My Noah
Jana ulinyimwa?Sijui na leo ntapata likes [emoji23] [emoji23]
"Mwenye kupenda, ni jura."Jamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
'Kila mla vya wenzake na vyake huliwa'Kumpa mwenzio, si kutupa.
'Kuvua vua, na mvuvi.'kwan like za nn hasaa yaaan mkuu
kweli..."Masikini ukimpa nyama awagawie wenzie itamuozea mkononi"
"Ndugu mbaya si rafiki mwema"Akufaye kwa dhiki ndiye rafiki.
Kila mchuma janga hula na wakwaoNdondo si chururu..
"Makinikia si adhabu, Like ni dhahabu"Aisee raha kama kugawana makinikia
Umeona hiyo!!Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
"Fedha sura ya mchana, usiku dhahabu."mm sitaki mtu anipe like, ukinipa like nakushtaki
[HASHTAG]#bongobahatimbaya[/HASHTAG]
"Asiyekuwepo na lake halipo"Asiyekuwepo hakuwa na taarifa
Hapana ni watuhumiwa tuMajambazi
"Pombe kwako dhahabu, kwa wengine ni adhabu. "Akuu kama unataka like njoo kapuku bana huku like zao hazifiki tano..