moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Wapiganapo fahali wawili ziumiazo nyasi"Wapiganapo tembo ujue wamekoseana
"Wapiganapo fahali wawili ziumiazo nyasi"Wapiganapo tembo ujue wamekoseana
Tatizo kazi za watu hizi.Kuna watu siwaoni, au ni Mimi ndo....
Mtafitafi hula nswi, mtulivu hula nyama.Nimegundua kuna ubaguzi wa like..
Mkuu hapa siyo mahali pake, nadhani una njaa ya like, haya hiyoCCM oyeeeee Magufuli juu
"Ndugu mkaa kule, si mtu mtu umbile."Ila huu ujinga kwa hiyo hata ukitukanwa una like tu!
Unaanzisha uzi kupitia nyuzi zingine.Asee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni
Hahahaha naanza kuutafakari sasa.."Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe. "
Hajiaminiunauliza virungu kituoni!
"Nguzo ya nyumba ni mke. "Yaaan we dada mzuri saana na unafaa kuwa mke mwema!!!ngoja nitafute Mali nije kwenu kuwaona wazazi tuishi pamoja kama mke na mume!!?
"Mtumai cha ndugu hufa masikini"Mtegemea nundu haachi kunona.
Akiacha asili ujue amesafiri.Jasiri aachi asili
"LIKABA"Eti haba na haba ujaza kibaba je like na like ujaza nini?
Hizo hapoJamani nipo gongeni za kutosha
Nagawa vyakula vya likeNjaa ya like
Asante mkuuChukua hiyo Mkuu