moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Mtu chake apendacho""Mwenye kupenda, ni jura."
"Mtu chake apendacho""Mwenye kupenda, ni jura."
Mzee wa nyundo nzitooo.What's up!!!!
Ambao bado hawajagonga like kwenye uzi pendwa kama society yetu basi wakumbuke kuchalaza LIKE kama kawa.Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Itakuwa tunawamiss thoughTatizo kazi za watu hizi.
Itakuwa kuna giza walipo simama"Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo"
"Fedha fedheha""Fedha sura ya mchana, usiku dhahabu."
Aah wapi usingekuja huku.mie sitaki like ya mtu hapa, mmesikua
Makinikia kwenye Picha!
"Pombe si chai""Pombe kwako dhahabu, kwa wengine ni adhabu. "
"Halisikii dawa" kula likeHaliwezi muacha mwenye nalo salama
Kweli kabisa una akili mbofu.Hivi diva angekuwa mchepuko wa mengi.. TB Joshua awe mwakyembe tooohn tungeona mengi
Akili za bangi..
Gunia la bangi liuzwe jero
Gunia la big jiii liuzwe laki chadema kijani na yellow ccm wavae kaki..
Me sina akili
Huyo njuka nimeona uzi wake wa kinjuka njuka tu.Kuna ngulumbili mmoja alianzisha uzi kuuponda uzi wetu pendwa
Like kwanzaEti haba na haba ujaza kibaba je like na like ujaza nini?