Mbele kwa mbele likesMwendo ni ule ule.
Tumeupenda wenyewe.
Tumejazana wenyewe.
Tumejijaza wenyewe.
Tunaendelea kusonga mbele.
"Ng'ombe wa masikini hazai, akizaa ni dume""Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe. "
nimewekaKama kawaida maana kuna watu wanaabudu kitufe cha like.
Kutoa like tu hadi jasho
Hapa kwa kichwa kichafu hamna kuabudu like kabisa.
[emoji15]Wengine hamlike
Sambaza like kiroho safi tu kama unavyosambaziwaHumu hamna majungu
Foleni kuelekea mkombozi b, zamu yenu
Gonga like mzeeLike
Ananyea debeRugemarila
"Kazi mbaya si mchezo mwema"Kazi njema wakuu.
SwaumuKaribuni chai
Haya kula like.nipeni na mimi wakuuu, napendaga malikes
Like na like= loadingEti haba na haba ujaza kibaba je like na like ujaza nini?