buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,370
- 7,900
We kuna kitu unakitafutaMajambazi
We kuna kitu unakitafutaMajambazi
"Dau la mnyonge haliendi joshi""Mlamba asali, halambi mara moja"
Uzi unaluka.Uzi unakimbia
Unagawa noah.."Pombe kwako dhahabu, kwa wengine ni adhabu. "
"Pofu hasahau mkongoja wake. "Subirini nifunguwe ndo mnipe like,
Unae ona hakupi like we mtwange nazo hadi aone aibu. Like kwa upendoMtafitafi hula nswi, mtulivu hula nyama.
Hahahahaha hiyo rangiMe nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawati
Huna mpyaNin mpy bas
"Akupendae kwa dhiki ndiye rafiki""Akupendae, hakukanyagi ukaumia. "
Kududumtu???Kidudumtu avamia jf
"Watu huitwa manyani, kwa kutotimu kichwani."Mnashusha thamani ya "like" wajameni
Akiacha asili ujue amesafiri.
Hata kama amesafiri hakulipa nauli.
Kama kalipa nauli basi alisafiri kipindi cha mvua za vuli.