Haliwezi muacha mwenye nalo salamaSikio la kufaa..
"Mkaidi hafaidi hadi siku ya idi."Atokee basi mtu aombe mods wafute huu uzi
"laki si pesa"Badilisha like kuwa pesa
Kiongozi ulitafutwa sana jana hapaWeka post hiyo
Am back kikwelikweli
"Utapata na Vingi"Nipeni na mimi
Nipo nachimba like mpaka zifikie container la makinikiaGejo
"Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe. "Kuna watu siwaoni, au ni Mimi ndo....
Your like[emoji604]
My Noah
Kuna ngulumbili mmoja alianzisha uzi kuuponda uzi wetu pendwaWatu walilala nini au pepo la uchoyo la LIKE limepita
Acha tu atunziwe akirudi atalikuta."Asiyekuwepo na lake halipo"
Subiri noah kwa likeNikilala naota tu naendesha Noah yangu
"Bora nusu kitumbua mkononi, kuliko kitumbua kizima jikoni."Mbona like zenyewe mwisho 5 tu?
Hatupendi ujinga na likeHansss hahahaha ni mwendo wa likes