Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAIDA ZA NYAMA YA SAMAKI

Samaki (Husausan Saladini, Tuna, Salmoni nk) wana kiasi kikubwa cha virutubisho mafuta viitwavyo Omega-3-Fatty Acids – Omega-3 fatty acids ni mafuta muhimu sana kwa afya zetu kwa ujumla. Husaidia kudhibiti na kushusha presha na kiasi cha rehemu mwilini (Cholesterol) na husaidia kupunguza uvimbe.
carbamazepine naomba ujifunze kupika samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muhimu ntaweza tu
2d7123add00d9cd466277842046caf9b.jpg
 
Back
Top Bottom