carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvu hadi aibu.Kwendaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvu hadi aibu.Kwendaaaaa
Yaani kichachagaaaaaa utadhani....Hapana shemeji mimi sitoki tanga
Nmepost makusud ili niwapate member wenzanguMkuu hapo umetulisha matango pori kabisa.
Makada wa hesabu mtanielewa tu hapa
Eeeh kuna free wi fi hapa kwa jirani[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna bundle la usingizi la hivyo.
Huo usingizi unajidownload?
Nipo kwa mwanasheria hamna namnaMe na wewe nani kamfanya vibaya mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hebu njoo kwanza
Malizia........Yaani kichachagaaaaaa utadhani....
Wewe toka ukimbie kijijini hutaki kurudiKichwa kikawa kimelala tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana kichafu
Asante sana!Isaya 54:17
![]()
Hata ukijikata damu yako ikitoka inaandika ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi kuumwa kwa kukosa ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa naenda hospitali
Sio kukukomoa bhana,jana usingizi ulikuwa wa mgao ikabidi asubuhi nilale mana ndo zamu yetu kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ukome siku nyingine nikikuita uitike[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ukaamua kunikomoa