Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

075c1a49343bfd6bed24bb69cf686cbf.jpg
 
Shemejiiii !!! Instagram, FB hata hapa maisha ya bandia tupu. Unamjengea mtu taswira fulani halafu ukija kuonana naye ni tofauti kabisa na alivyo in almost everything. Sasa yule kweli ni Paprika wa MMU?

Acha Mbagala ibakie Mbagala tu kwa kweli !!!

Ushafika Tukuyu? Familia umeikuta haijambo?
Namshukuru Mungu nilifika salama.Jana usiku nilikupa taarifa kuwa nimefika,nilishukuru kwa maombi.Familia ipo huko huko kwa makonda huku napigana peke yangu.Kwakweli nilivyo muona kule na kuna uzi fulani tulikuwa tunaongelea maisha...aisee!!!. Nauza mihogo na bamia jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom