Hebu nipe ka samari basi mana nahisi pages zimefutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona utakavyo nishushua[emoji23][emoji23][emoji23]Poa,ila kuna comment moja nimeipata japo ni ya siku nyingi imeniharibia siku kabisa.Ndani yake nimeyahusisha maneno mawili na ukweli wa kilichopo.Hakuna aijue kesho
Kwema poti?
Isaya 54. Waovu wameshindwa milele [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Baraka tupu!
Isaya 54
Ukiileta isisahau kuniita[emoji23][emoji23][emoji23]lolNo.Haihusiani na hili kabisa.Ufukunyuku wangu tu kwenye comments za watu ndio chanzo,kuna watu unazoeana kwa muda mfupi na wanapotea jumla.Nitaileta baadae
Naomba ka samari ka ubuyu basi[emoji2][emoji2][emoji2]nimepitwa etPoa ukiileta unitag plz . ubuyu mtamu
be blessedIsaya 54. Waovu wameshindwa milele [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]![]()
Unataka samaki wa aina gani?napika wote mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine naomba ujifunze kupika samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemejiiii !!! Instagram, FB hata hapa maisha ya bandia tupu. Unamjengea mtu taswira fulani halafu ukija kuonana naye ni tofauti kabisa na alivyo in almost everything. Sasa yule kweli ni Paprika wa MMU?Nimeenda kule... Sisi tu watu wazima tuishi kiuhalisia,ni rahisi sana kusaidiana penye shida kuliko tukaishi kwenye maisha ya ku edit hadi unasahau original yako.(Yaani mimi andjul,kazi yangu...dereva wa lori(moudgulf alisema), kazi ya pembeni...nauza maparachichi,mihogo,ndizi na bamia,sehemu ya kuishi...Ushirika Tukuyu.Ndoa...ndiyo nimeoa ila ni ya kugombana kila siku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ). Welo kamu woote
Naona mods leo kitufe cha delete wamekipenda kweli tangu alfajir wanafuta nyuzi tu aaagggrrr[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Asante sana sanaIsaya 54. Waovu wameshindwa milele [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]![]()