andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
No.Haihusiani na hili kabisa.Ufukunyuku wangu tu kwenye comments za watu ndio chanzo,kuna watu unazoeana kwa muda mfupi na wanapotea jumla.Nitaileta baadaePole sana andjul ningejua nisingeyaleta humu maana kuharibu mood kuirudisha kazi sana pole