Amen.Sikutarajia kukutana na neno hili hasa leo.Mungu ni mkuu wa yote.Peke yangu siwezi...Isaya 54:17
Hujaprove hili swali.Nmepost makusud ili niwapate member wenzangu
Haya kama ww ni gwiji hapo tango pori lipo sehem gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]siku nyingine ukiitwa waitika mapemaLeo bingwa sawq tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISAYA 54Amen.Sikutarajia kukutana na neno hili hasa leo.Mungu ni mkuu wa yote.Peke yangu siwezi...
Wewe naona hujui usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku nyingine ukiitwa waitika mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siipatii picha image yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaHata ukijikata damu yako ikitoka inaandika ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Data zote nilizoweka ni sahihi ila hiyo kitu inauliwa kwa intergration & calculasMkuu hapo umetulisha matango pori kabisa.
Makada wa hesabu mtanielewa tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]kila la kheriNipo kwa mwanasheria hamna namna
Hapa lazima ulipe fidia hamna namna[emoji23] [emoji23]Sio kukukomoa bhana,jana usingizi ulikuwa wa mgao ikabidi asubuhi nilale mana ndo zamu yetu kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ukome siku nyingine nikikuita uitike[emoji23][emoji23][emoji23]