[emoji23][emoji23][emoji23]sasa usinilaumu kutokuitikaWewe naona hujui usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njema kabisa mkuuZa jioni
[emoji23][emoji23][emoji23]ni bora usipate picha hivyohivyo maaaana......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siipatii picha image yako
Mchochezi kwenye ubora wakeAisee kama jina ID yako inavyosema
True indeed
Wewe ni mchochezi
Umeelewa 1 ya kwanza ilivokatika?Hujaprove hili swali.
1+1=1
Badala yake umeishia kusema
1=1
Nini sasa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Malizia........
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh kuna free wi fi hapa kwa jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulipane fidia[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa lazima ulipe fidia hamna namna[emoji23] [emoji23]
Nipo mlimani nafaidi mtandao,subiri jioni nikishuka sitakuwa hewani...raha ya kijijini ni kulala mapemaWewe toka ukimbie kijijini hutaki kurudi