Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hapana ningependekeza zaidi iwe lugha ya sita kutumika dunia nzima.

1. English
2. French
3. German
4. Spanish
5. Italiano.
6. Swahili.
Orodha yako imezingatia nini hasa? Angalau ungesema Kiingereza, kichina, kiarabu, Urdu, Gujarat, na nyingine zifuate vinginevyo kichina,kiarabu na kihindi zinazitumiwa na mamilioni ya watu duniani kuliko kijerumani na kifaransa. Kama siko sahihi tafadhali mniweke sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…