Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jiwekee zawadi nono na jipongeze. Kuacha sigara mbali na kukufaidisha kiafya hukusaidia pia kujiwekea fedha zako ambazo ungezipoteza bure kwa kununua sigara. Jipongeze kwa kutumia sehemu ya fedha hizo kujinunulia zawadi.
 Acha sigara kwa afya yako! Tambua kuwa kuacha sigara kutakupatia faida kemkem kiafya kama vile kupunguza shinikizo la damu, kupunguza mapigo ya moyo.
 
Siku moja tu baada ya kuacha sigara, kiwango cha Carbon monoxide cha damu yako kitarejea katika hali ya kawaida. Baada ya miezi mitatu hadi minne, hatari ya shinikizo la moyo hupungua na mapafu yako huanza kufanya kazi kama kawaida. Miongoni mwa faida za kuacha sigara ni hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo, mshituko wa moyo, kensa ya mapafu pamoja na saratani nyinginezo.
 
Du kukamata hayo madudu ni kipaji Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…