Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni wale weusi wasio na woga kiasi kwamba ukizubaa wanaweza kukunyang'anya hata tonge la ugali ambalo tayari kabisa umeshaliamulia kuwa litakwenda kujenga mwili wako?
Shimba hawa kunguru wamekuwa kero sana kwa jiji la Dar na vitongoji vyake lakini huku mikoani hawapo
Nafikiri Zanzibar nao wapi wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…