Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utakuwa umejiokota munyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba nimeharibu sehemu? Au kiswahili tatizo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzee huu shida sana,kichwa changu kimechoka,ni full kulala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mwandiko wangu mbaya nisamehewe tu
Nimeelewa sana tu wala hakuna tatizo ila wengi wanapenda maisha ya maigizo jamani ukiona maneno utahisi unachat na mtoto wa bill gates kumbe wa tandale kwa mtogole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…