kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,026
- 15,812
Amani sanaPamoja Mkuu tupo
Naskia Sikh hizi were ndio una hatimiliki za kiumbe ISIS
Amani sanaPamoja Mkuu tupo
Nakusimulia kilichotokea jana, najua nae mhusika ataona maana alinielewa jinsi inavyofaa kuishi.
Nilivyo fika Chalinze nikaona nitafute abiria hata mmoja wa kuwa nae maana sikuwa vizuri.Nikafungua uzi wetu,ndani ya dakika mbili tu nikaona uzi umechangamka sana,wazo likanijia nitafute abiria mwenye leseni.
Mungu mkubwa nikampata,akalipa 5,000 kwa madalali mimi nikasema hapana ila tutaendesha wote.
Basi, nikamuachia usukani nikawa namwaga milaiki huku nacheka.Baadae sana tupo mikumi hata story hatuna,ikabidi aniulize upo grupu gani hilo? Nikamuambia jf,akauliza uzi gani? Nikashtuka kidogo,akaniwahi kuwa na yeye ni memba na kwa ukarimu niliomuonyesha akataja na ID yake... Jamani!!!zile lugha za kule na yeye tofauti kabisa... Nikamshauri abadilike,aishi kwa uhalisia tu,ni muelewa na muonekano mzuri tu.Next wiki narudi nae jijini kuuza maparachichi na bamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu swalika kidogo[emoji101] [emoji101]Eti ninataka nikuswalike sijui naruhusiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]kazi unayo...Eeeh
IndeedAmani sana
Naskia Sikh hizi were ndio una hatimiliki za kiumbe ISIS
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji124] [emoji124] [emoji124]kazi unayo...
NimeghairiHebu swalika kidogo[emoji101] [emoji101]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwendraaa
Yupo na cole WilliamsHahahaha uwemakin sasa usije angukia gizani tukakupoteza
Nzur aiseeIndeed
Za masiku ndugu yangu?