Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GUYS Tarehe 12 /8/199..
Ndiyo siku niliyozaliwa Mimi.
Yakiwa limebaki lisaa na DKK kadhaa , napenda kuwaalika kwenye party SAA sita kamili.
Karibuni
Le party[emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324]
[emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
Haya I'll be there kwenye count down[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
87179c48bb8b4da0a6671eb2eb23b4e2.jpg
 
Hahahaha ati maparachichi na bamia. Yaan humu JF uhalisia haupo. Utakuta mtu analalamika kudhulumiwa chenchi ya mwendo kasi watu wacha wamshambulie mara bahili mara mia kitu gani,subiria sasa hao hao wakatwe sh20 ya vocha kelele zao uwiiii uzi mzima unageuka uwanja wa malalamiko
Ila jamaa ana moyo kutaja hadi ID

Hiyo hela uliyoikataa imeniumaaaaa ungeturushia na carba tukanunua bando haha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuikataa,lasivyo barabara ingeniangukia peke yangu.Kwakweli ndugu kwa sasa,naamini ipo siku atakuja kusema hapa hapa.Next wiki tutakuwa nae kuuza maparachichi na bamia soko la mahakama ya ndizi.Twende pamoja
 
Back
Top Bottom