Sawa, nendeni mkakanyane mjuavyo huko huko,mkiumizana mtajuana wenyewe asubuhi[emoji57] [emoji57][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mkeo unamtetea hadharani na kumkanya chumbani[emoji57][emoji57][emoji57]nasema tu
mkuu nikiona avatar yako huwa nafurahi haswa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wewe ndo unanipa mahangaiko[emoji45][emoji45][emoji45]Unahangaika[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Le party[emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324][emoji324]GUYS Tarehe 12 /8/199..
Ndiyo siku niliyozaliwa Mimi.
Yakiwa limebaki lisaa na DKK kadhaa , napenda kuwaalika kwenye party SAA sita kamili.
Karibuni
Myoyambendi u mzima wewe?Likes
Msimu unaanza kwa mbwembwe zoteArsenal 3 - Leicester City 3.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuikataa,lasivyo barabara ingeniangukia peke yangu.Kwakweli ndugu kwa sasa,naamini ipo siku atakuja kusema hapa hapa.Next wiki tutakuwa nae kuuza maparachichi na bamia soko la mahakama ya ndizi.Twende pamojaHahahaha ati maparachichi na bamia. Yaan humu JF uhalisia haupo. Utakuta mtu analalamika kudhulumiwa chenchi ya mwendo kasi watu wacha wamshambulie mara bahili mara mia kitu gani,subiria sasa hao hao wakatwe sh20 ya vocha kelele zao uwiiii uzi mzima unageuka uwanja wa malalamiko
Ila jamaa ana moyo kutaja hadi ID
Hiyo hela uliyoikataa imeniumaaaaa ungeturushia na carba tukanunua bando haha