Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Nice to see you here sirKweli umeamua[emoji23] [emoji23]
Nice to see you here sirKweli umeamua[emoji23] [emoji23]
South, mambo?Pamoja mkuu
"Mungu si athumani"Hahahaaaa neno tamu sana hilo. Naomba nisome kiswahili kwako, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sitakuangusha.
Umeliweka wpKinikia langu silioni
Ulimwengu komandooDunia hadaa...
[emoji61]"Ukimsifia babako kuwa ana mbio msifie na anayemkimbiza"
Kizulu au!Ujfukvf
"Elimu ya mjinga ni majungu"Soma tu wanasema elimu bahari sasa jitadhimini upo bahari ipi ya chumvi au bahari joto
Andika lugha yetu mamy
I see"Uongo wa polisi si ukweli wa raia"
YapNautabiria maisha marefu sana huu uzi
SanaSalama hum
Wanakusikia kisha wanakulia timing, kitachofuata ni historiaHivi ukiwatukana kwa kiswahili wataelewa?
Poa habar mkuuSouth, mambo?
Unaweza kuunga bampa to bampa na DHIKI TO DHIKIBaada ya dhiki faraja
"Muomba huombwa"Jamani na mimi naomba likes pleaseeeeeee
Wapi huko?Kanyaga twende
YapNdiye rafiki wa kukupa ma likes
NaonaWatu wa likes Tupo fresh