Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Chukua 10Jaman samahan kwa usumbufu
Mm nahitaji like 4 tu
Chukua 10Jaman samahan kwa usumbufu
Mm nahitaji like 4 tu
Chapa like mkuu utakimbia wewe tuFrom 8:00 - 11:30.
385 LIKES
Jembekillo + demigodUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mada na Mijadala zinaaza taratibu kwenye thread yetu hii ya kulike kwenda mbele.
Wala hakuna matusiPia hakuna mapovu.
Utakua unapaa kabisaNi bahati nzuri tu haukanyagani.
Hawa njuka wanasumbuaAnataka like tu si vinginevyo
Akapimwe akili huyuHana jipya
"Msitukane mamba kabla hujavuka mto"[bUsiyavuke maji usiyoweza kuyaoga. Do not cross water that is too deep for wading.
Salama mkuuWanalike habari zenu
"Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge"Usitukane wakunga na uzazi 'ungalipo. Speak no ill of midwives while childbirth still continues
Hahahaaaa neno tamu sana hilo. Naomba nisome kiswahili kwako, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sitakuangusha."Fedha ni sabuni ya roho"
"Cha mlevi huliwa na mgema"
- Usitukane wagema na ulevi ungalipo. Speak no ill of palm-wine tappers as long as drinking persists
Mi najua mchakato ulipofikiaJamani kuna anaye jua mchakato wa noah zetu umefikia wapi??[emoji23]
Soma tu wanasema elimu bahari sasa jitadhimini upo bahari ipi ya chumvi au bahari jotoNmeChoka kusoma
Vema kiongoziNitakuwakilisha vyema.
Hivi ukiwatukana kwa kiswahili wataelewa?"Msitukane mamba kabla hujavuka mto"