andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ni bahati nzuri tu haukanyagani.Uzi unaluka.
Ni bahati nzuri tu haukanyagani.Uzi unaluka.
Penda pia wewe! Hapa upendo tu na malike...Penda sana wewe
Morning toto la kinyirambamorninggggg
"Ukicheka na nyani utavuna mabua""Watu huitwa manyani, kwa kutotimu kichwani."
Chukua like janjanipeni na mimi wakuuu, napendaga malikes
Sugua GagaSugua kisigino
Ndiye rafiki wa kukusaidia"Akupendae kwa dhiki ndiye rafiki"
[emoji117] [emoji117] Like niku add[emoji118] [emoji118] slogan cha kitambo hichi.2020 haifiki tu
Asije Akapotea bure.Watu wapo kwa kazi hapa, usiwaige
HahahMagufuli atafungua kiwanda chenye thamani ya sh. 50000 Leo pale pwani kikiwa na vyerehani 3.
Kwamba ununue mkate unywee"Pombe si chai"
Pamoja mkuuTwende pamoja
Watu wakiona hicho kibao wanaanza kusali kuingia kibiti