moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kama kawaida yakoSaa za wanga hizi!
Si unajua mambo ya mpira yameanza kurudi lates kama kawaidaNimekufuata tukalale
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nikafate godoro dodomaView attachment 563621kumbe nimeshalipata
ColeWakuu UsiKu mwema
Nyote nalala my love ameniambia nilale Nita like post zenu nikiamka
Stay blessed may God protect you.
Cole
World
HahahahahaUshauri wake kwako ni amri! Sisi tunguli zetu za kuwangia ndio zinakolea sasa hivi! Goodnight buddy!
Nini mkuuAstaghafirullah! Duh!
Mambo ya andjul hayoWallahi unapata ushungu wa moyo!