Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watafiti wa sayansi na tiba wamegundua kuwa mti huitwa mlonge ambao kwa Kiingereza unaitwa Moringa Oleifera una uwezo wa kutibu maradhi mengi katika mwili wa mwanadamu

Nimesikia mengi kuhusiana na mti wa Mlonge lakini hii ni kali zaidi CAPE TOWN, (IPS).
 
Lakini hali ya ukame inayoongezeka kwa kasi, miti yenye kuhimili ukame huku ikiwa na majani yenye viini lishe vingi inaweza kuwasaidia watu maskini, pia maeneo ya usalama wa chakula na utapiamlo, wao wenyewe.
 
Shamba lenye hekta 15 lilipandwa miti ya Mlonge au wengine huuita mti wa miujiza ambao kwa Kiingereza unaitwa Moringa Oleifera, tayari umeshaanza kuleta mabadiliko katika jimbo moja maskini zaidi la Afrika Kusini la Limpopo.

Majani ya Mlonge yamepachikwa jina la chakula chenye viwango kwasababu wanasayansi waligundua yana kiasi cha madini ya
 
Kalisium yanayoweza kupatiakana katika glasi nne za maziwa,
kiasi cha vitamini c inayopatikana kwenye machungwa saba,
Potasium ya kwenye ndizi mbivu tatu.
Pia unapata kiasi cha madini ya chuma mara nne zaidi.


KAMA kuna mti wenye faida nyingi za kiafya, basi Mlonge unaweza kuwa unaongoza.
 
Kalisium yanayoweza kupatiakana katika glasi nne za maziwa,
kiasi cha vitamini c inayopatikana kwenye machungwa saba,
Potasium ya kwenye ndizi mbivu tatu.
Pia unapata kiasi cha madini ya chuma mara nne zaidi.


KAMA kuna mti wenye faida nyingi za kiafya, basi Mlonge unaweza kuwa unaongoza.
 
Kila eneo la mti huu, kuanzia majani, maua, mbegu, magamba hadi mizizi yake ina virutubisho vya kipekee vyenye faida nyingi za kiafya kwa binadamu.

Majani ya Mlonge yanaweza

kutafunwa mabichi,
yaliyochemshwa kama mboga au
yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga.


Unga wake unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika moja lijulikanalo kama Trees For Life,
These tiny leaves could save millions of lives.

Majani ya Mlonge yana

Vitamin A nyingi kuliko karoti,
vitamin C nyingi kuliko machungwa
madini ya Potassium nyingi kuliko ndizi mbivu,
halikadhalika ubora wa protini yake ni bora kushinda maziwa na mayai.
 
Kutokana na kuwa na kiasi kingi cha

madini ya chuma (Iron),
kasiamu (Calcium) na
vitamin nyingi za aina mbalimbali,
majani ya mmea huu yamekuwa yakitumika kama ‘tonic’ kwa watoto wadogo na vijana ili kuimarisha mifupa na kusafisha mfumo wa damu mwilini.
 
Back
Top Bottom