Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mtu anaweza kutumia unga usiokobolewa (dona) ni muhimu kwake kufanya hivyo kwa sababu faida zake ni nyingi.

Akumbuke kuwa asage kiasi kidogo au anunue kiasi kidogo cha dona ili usiharibika kutokana na kukaa sana kabla ya kupikwa.

Kwa upande wa mchele, watu wanashauriwa wasiuoshe sana wakati wanataka kuupika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…