andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Habari ya asubuhi mkuu MAMA AFYA.Mungu awe nawe unapoianza siku yako[emoji120] [emoji120]Lakini hali ya ukame inayoongezeka kwa kasi, miti yenye kuhimili ukame huku ikiwa na majani yenye viini lishe vingi inaweza kuwasaidia watu maskini, pia maeneo ya usalama wa chakula na utapiamlo, wao wenyewe.