Mkuu na wewe umeitumia hiyo? Kwa mara ya kwanza niliipata baada ya kuuza maembe,nikanunulia bagia kwa mama Kudula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulitumia wachache sana
Every team want to win everything,hakuna team inayokua train ili isindikize wenzake! Pogba aache maneno aweke mziki 😀😀
Nipo vizuri mama,ni siku nyingi sijawaona ndugu zangu.Wasalimie sana ukiendaAm guddo...mzima wewe?
Hiyo tulitumia wachache sana humu! Kina kichwa kichafu wanaweza kufikiri labda hiyo ni hela ya Somalia.😀😀Mkuu na wewe umeitumia hiyo? Kwa mara ya kwanza niliipata baada ya kuuza maembe,nikanunulia bagia kwa mama Kudula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetukimbia sijui tumekukosea niniNipo vizuri mama,ni siku nyingi sijawaona ndugu zangu.Wasalimie sana ukienda
Teh! Teh!I WILL MARRY U NUMBISA
Yale mafunzo mliyonipa nilitaka niyafanyie kazi bila uwepo wenu,maana nilihisi kama na copy na ku paste.Next wiki narudi nyumbani mazima, sirudi tena huku,naomba mnipokee.Hofu yangu ni Evelyn salt,ila dadaangu Heaven sent na Nalendwa sina shida,espy mara chache tunakutana kwenye corridor la hukuUmetukimbia sijui tumekukosea nini
Uzamia kwenye mgodi wa likes. Uje ndugu yangu tunakuhitaji kule tujenge taifa la viwonder!Yale mafunzo mliyonipa nilitaka niyafanyie kazi bila uwepo wenu,maana nilihisi kama na copy na ku paste.Next wiki narudi nyumbani mazima, sirudi tena huku,naomba mnipokee.Hofu yangu ni Evelyn salt,ila dadaangu Heaven sent na Nalendwa sina shida,espy mara chache tunakutana kwenye corridor la huku
Wengi wanatoa macho tu,labda waone picha ya Mwalim JKN[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo tulitumia wachache sana humu! Kina kichwa kichafu wanaweza kufikiri labda hiyo ni hela ya Somalia.😀😀