Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Lita ya maji yenyewe sifikishi per daySwali la kujiuliza ni, je unatakiwa kunywa maji kiasi gani kwa siku? Wataalamu wa afya wanashauri unywe maji angalau glasi 8 (250ml) sawa na lita 2 kwa siku.
Jaribu hahaha ila ukae karibu na toilet