Toa likes upate likes....Nimekuwa kimya kwa muda saana na nimemiss likes...msaada wa likes tafadhali kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbi Numbi Numbii...Kuvuta sigara:
Uhusiano wa uvutaji sigara na hatari ya kupata saratani ya matiti. Wakati baadhi ya tafiti zinaonyesha uhusiano wa karibu kati ya uvutaji sigara na uwezekano wa kupata saratani ya matiti, tafiti nyingine zinaonyesha majibu yenye kutofautiana kuhusu uhusiano wa uvutaji wa sigara na saratani ya matiti. Hata hivyo, kwa jumla, wanawake wanaojizuia kuvuta sigara wanakuwa na afya njema zaidi kuliko wale wanaovuta sigara.
Nshajua kumbe shabiki wa chelsea ee