Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H244
Niliisikiliza kwa uangalifu hii. Wameamua kuanza na moyo. Wanasema moyo wa nguruwe hauna tofauti kubwa na ule wa binadamu na mbali na ishu ndogo ndogo za "organ rejection" kuna matumaini makubwa huko mbele ya safari...
Wasiopenda nguruwe bila shaka watachagua kufariki kuliko kuwekewa moyo wa mnyama huyu wasiyempenda !!!
Nae aangalie,shetani mwekundu asijegeuzwa malaika mweusiBado man u
Ahsante kwa hii picha mkuu,namuona kakaangu pia nilie fuatana nae kuzaliwaView attachment 564029 Namuona Mheshimiwa Makonda.
Teh teh tehLiver bila Continho ni sawa na dela bila Chura
[emoji41][emoji41]
Carba.... Mambojakitoo
Nimezoom kuangalia hata mwandiko na sura kama mnafanana sijaambulia aah andjul uwe unatoa ubuyu kamili banaAhsante kwa hii picha mkuu,namuona kakaangu pia nilie fuatana nae kuzaliwa