Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ce01ef2940e60c5a89ad35350583ec34.jpg
 
Wakuu kwema? Jumamosi inaendeleaje?

Nimeingia kimya kimya kama Navy Seal Team 6 wa likes huku nyuma 1 hour nafukia fukia mashimo ya likes kwa sababu hali siyo nzuri sana. Post nyingi zina likes moja au mbili. Nikifika pazuri penye likes tano tano basi mtaniona huku mbele....
9c0de759223c606fba45a1cc28e89600.jpg
Kwema kabisa,jumamosi ni njema...
Karibu
 
Back
Top Bottom