Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya tiba wanabainisha kuwa, matumizi holela ya dawa za hospitalini pia yanaweza kuwa chanzo cha tatizo hili. Baadhi ya dawa zinazonyooshewa kidole ni pamoja na dexamphetamine, clecoxib (NSAIDS), pseudoephedrine na fluoruquinolone (mfano ciprofloxacin). Hii ni kwa mujibu wa chapisho la Monthly Prescribing Reference (MPR) toleo la April, mwaka 2009.
 
Screenshot_2017-08-12-21-19-46.png
 
Baadhi ya dawa za kutibu shinikizo la juu la damu na za kutibu magonjwa ya kutetemeka kwa viungo vya mwili nazo zinatajwa kuwa chanzo cha kukosa usingizi. Dawa za kupunguza mafuta au lehemu mbaya mwili (atins), dawa za kutibu mzio kama vile cetirizine na dawa za kutibu baridi yabisi kama vile glucosamine pia zinatajwa kuwa chanzo cha tatizo hili.
 
Hali hii pia huchangia katika mdororo wa uchumi na kuongezeka kwa kiwango cha umaskini katika jamii na taifa kwa ujumla. Utafiti mmoja uliochapishwa mwaka jana katika jarida la Systemic Review toleo namba 3(18), pia unabainisha kuwa wagonjwa wenye matatizo ya akili, wanaokosa usingizi kwa muda mrefu, wengi wao wanakabiliwa na hatari kubwa ya kujiua.
 
Duhh!! Mzee wa liver kama ulikuwa unatumia kimea badilisha,kipindi hiki utapata hasara maana utakuwa haulewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibapa baba ndio inaendana na timu kama Man u,Arsenal, Liverpool(msini rarue bure mpira niliacha kuangalia vile Andy Cole ameondoka Man u)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi liver liver na Mimi na bapa kama kawaida Vat 69 ndio makazi
 
Back
Top Bottom