Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1502561924628.jpg
 
Chanzo kingine cha tatizo hili ni maumivu ya muda mfupi au mrefu ya sehemu yoyote ya mwili, au jino, tumbo la hedhi kwa wanawake au maumivu ya kichwa. Kupata hisia zisizo za kawaida kama vile hisia za ganzi miguuni, hisia za mwili kuwaka moto, baridi au muwasho wa mwili, pia ni miongoni mwa vyanzo vya tatizo hili.

Kukosa usingizi pia kunaweza kuwa ni dalili ya magonjwa ya mishipa ya damu na moyo au shinikizo la juu la msukumo wa damu.
Kuvimbiwa nako ni kisababishi kimojawapo kikuu cha insomnia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom