Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Love birds[emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 564192
Mzee wa liver
nsamaka ulifika kwa yule mzee maparachichi?Kichwa my ex
21:3121:28
Sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]siku ya leo ingekua nzuri sana.
Vat 69[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi liver liver na Mimi na bapa kama kawaida Vat 69 ndio makazi
Nakuona mkuuNipo Mkuu
Kuvimbiwa nako ni kisababishi kimojawapo kikuu cha insomnia [emoji23][emoji23][emoji23]Chanzo kingine cha tatizo hili ni maumivu ya muda mfupi au mrefu ya sehemu yoyote ya mwili, au jino, tumbo la hedhi kwa wanawake au maumivu ya kichwa. Kupata hisia zisizo za kawaida kama vile hisia za ganzi miguuni, hisia za mwili kuwaka moto, baridi au muwasho wa mwili, pia ni miongoni mwa vyanzo vya tatizo hili.
Kukosa usingizi pia kunaweza kuwa ni dalili ya magonjwa ya mishipa ya damu na moyo au shinikizo la juu la msukumo wa damu.
you are the apple of my eye[emoji445] [emoji445]
Si kwa watoto dawa ni adui yao.Dawa tamu
young kilimanjaro