Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DALILI

Dalili ni pamoja na kukosa usingizi, kuamka amka nyakati za usiku au kuamka mapema zaidi, kutokujisikia vizuri au ahueni baada ya kuamka asubuhi, uchovu nyakati za mchana au kusinzia mchana, msongo wa mawazo pamoja na kukosa raha na umakini kwenye jambo unalolifanya au kutokukumbuka, kuongezeka kwa makosa madogo madogo au ajali ndogondogo katika mambo shughuli unazofanya pamoja na kuumwa kichwa kunakotokana na uchovu na msongo wa mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…