Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aidha kuna, kukabiliwa na mawazo kuhusu matukio yaliyopita, kuwa na wasiwasi kuhusu maisha ya mbeleni au kuhisi kutingwa na majukumu mengi. Hata woga pia kuhusu hali ya kushindwa kupata usingizi huleta hali mbaya zaidi na mtu kuendelea kukosa usingizi.
 
MSONONEKO

Iwapo mtu anakuwa na hali ya msononeko wa muda mrefu katika maisha anaweza kupatwa na tatizo la kukosa usingizi.

MATATIZO YA KIAFYA

Yapo matatizo mbalimbali ya kiafya ambayo humleteea mtu kupatwa na hali ya kukosa usingizi.
 
Wakati mwingine dalili za tatizo hilo ndilo huwa chanzo. Matatizo ya kiafya ambayo husababisha insomnia ni pamoja na tatizo la mishipa ya fahamu kama ugonjwa wa ‘Parkinson’, maumivu makali, matatizo ya kupumua kama pumu au asthma.
 
MATUMIZI YA DAWA

Zipo aina za dawa ambazo huleta tatizo la kukosa usingizi. Dawa hizo ni pamoja na za kutibu asthma, hali ya baridi, shinikizo la damu, aleji, kutibu msongo wa mawazo pamoja na za kusisimua mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…