Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1502561804319.jpg
 
Nimeshaliona shemeji. Hili ni semi trailer. Kama umezoea kuendesha tu-Vitz aisee kaa mbali azawaisi utaishia kutokotesha injini tu bila mjongeo wo wote. Ni shiiiidah !!!
Lugha iliyo tumika sasa...aaaang'i aaang'iiiii teke teke teke.....ingiza gia weweee...haiendiiii....tchaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] shukaaaaa
 
Mungu ni mwema bro. Bado tunafakamia Oksijeni ya bure. Kwema huko uliko? Nasikia leo una furaha sana. Kuna mnuso mahala au ni Carba kakaba kila kona za moyo wako?
Amna aisee tangia nimpate yeye nimekuwa kpofu, sioni popote namuona yy tu.
Si unajua Dunia ya leo ukipata vitu adimu kama hivi inabidi uvishikilie kisawa Sawa
Hizi wife MATERIAL character ni adimu hapa JF, TANZANIA NA DUNIANI KOTE
 
Back
Top Bottom