Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka unaye kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaniruka mpenda misambwanda mwenzangu? Kulikoni?

Usiogope. Kila mtu ana akipendacho japo kwa siri siri (dark fantasies/secrets). Watu wakiamua kufunguka hapa utashangaa. Si ajabu sisi wapenda misambwanda (japo kwa kuiangalia tu) tutaishia kuonekana watakatifu kabisa. Mioyo ya binadamu imeficha mengi!!!
 
Duhh!! Mzee wa liver kama ulikuwa unatumia kimea badilisha,kipindi hiki utapata hasara maana utakuwa haulewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibapa baba ndio inaendana na timu kama Man u,Arsenal, Liverpool(msini rarue bure mpira niliacha kuangalia vile Andy Cole ameondoka Man u)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungeweka vizuri watu wanaweza jua cole Williams mimi PM yangu ikajaa wakiomba autography hahaha
 
f24bbdd19f17aba90c56d5ae8058c7ba.jpg
You are the sunshine of my life
That's why I'll always be around......
 
Back
Top Bottom